Nehemiah 1:1

Maombi Ya Nehemia

1 aManeno ya Nehemia mwana wa Hakalia:

Katika mwezi wa Kisleu
Kisleu ni mwezi wa tisa katika kalenda ya Kiyahudi; katika kalenda yetu ni Novemba/Desemba (ona pia

Zekaria 7:1).
katika mwaka wa ishirini, wakati nilikuwa ngomeni katika jumba la kifalme la Shushani,
Copyright information for SwhNEN